Waefeso 2: 11-17 - 18-06-2026
Waefeso 2:1-7 - 17-06-2026
Yeremia 13:15-17 - 16-06-2026
Matangazo ya usharika tarehe 14 Juni 2026
DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI
MATANGAZO YA USHARIKA TAREHE 14 JUNI, 2026
SIKU YA BWANA YA 2 BAADA YA UTATU
NENO LINALOTUONGOZA NI:
“YESU NI MLANGO WA KUINGIA MBINGUNI”
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna Mgeni aliyetufikia na cheti:
3. Matoleo ya Tarehe 07/06/2026
Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:
- 0757 391174 - KKKT AZANIA FRONT
Mathayo 8:18-22 - 15-06-2026
Mithali 1:7-9 - 13-06-2026
Zaburi 37:3-6 - 12-06-2026
Kumbukumbu la Torati 6:16-19 - 11-06-2026
Mathayo 19:23-30 - 10-06-2026
Kutoka 34:1-9 - 09-06-2026
MPYA: Pata Nakala ya Jarida la Usharika, Toleo #017
Soma taarifa na makala mbalimbali za Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front kutoka kwenye Jarida la Usharika toleo #017.
Bonyeza kiunganishi kifuatacho kuweza kupakua na kusoma jarida:
LINK: https://drive.google.com/file/d/1ehxcF1bkRlmOqpSfvH5eS_18whD1zxur/view?u...
Matangazo ya usharika tarehe 7 Juni 2026
DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI
MATANGAZO YA USHARIKA TAREHE 07 JUNI, 2026
SIKU YA BWANA YA 1 BAADA YA UTATU
NENO LINALOTUONGOZA NI:
“KUMTEGEMEA MUNGU NI MAANDALIZI YA MAISHA YAJAYO”
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna Mgeni aliyetufikia na cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 31/05/2026
Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:
- 0757 391174 - KKKT AZANIA FRONT
Mwanzo 17:15-19 - 08-06-2026
VIDEO: Maendeleo ya Mradi wa Kituo cha Kiroho cha Kiharaka
Tazama video fupi inayoonyesha maendeleo ya mradi wa Kituo cha Kiroho cha Kiharaka; picha ya ukumbi (ambao kwa kiasi kikubwa umekamilika) pamoja na baadhi ya nyumba za wageni ambazo ziko katika hatua mbalimbali za ujenzi.
Maendeleo haya ni ya hadi kufikia wiki ya kwanza ya mwezi Juni 2026.
Bonyeza kiunganishi kifuacho kuona video inayoonyesha maendeleo ya mradi
- 1 of 2
- next ›
